[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daah Mungu aliwasaidia aisee,kuna washkaji zangu kazi zao ni kutafuta videmu vya chuo huko fb&insta wanavitumia open ticket ya ndege kama viko huko mkoani wanavichapa nao then muda wa kurudi kwao vinapandishwa bus.,hahah
Hio ni kweli mkuu,mi kwa kukesha ndio mwenyewe ile iceman te hua ni kiboko, ntakua nawachek pande hizi kama mnakuwepo around wazee.Tupo wote kule mm huku nlikuw napita tu njia nkakutana na iceman 3D ikabid tuanzshe kijiwe hpa mara Leo akatokea whitehorse bas maisha yanaendelea. Tatzo la kule sku siasa sio tamu sanaaaa mpk uh najkuta bored bhan.
Kuna sista mmoja nilikuwa namkubali sana ila alikuwa anapenda mno kushinda siasani anajua siasa mnoo.Hahah kweli mkuu,ingawa mimi simo mkuu.
Mimi ni mzee wa jukwaa la siasani kule hahah
Usiku mwema kakaOyaa mm acha nkaanze kupanda ukuta kule Mzee akija atankuta juu ya ukuta aisee nkirud bdae ntapitia comment zote.
Hahah haina noma mkuu,usisahau kutupia ka selfie kidogo mkuuOyaa mm acha nkaanze kupanda ukuta kule Mzee akija atankuta juu ya ukuta aisee nkirud bdae ntapitia comment zote.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahah Mkuu unajua Mbowe ana miaka 56 na le mutuz anasemaga mbowe ni rafiki yake wa utotoni.
Sasa kumuweka uchi mzee ka lemutuz,Mungu anamuona aisee,hahah
Hao ndio wazuri hao full kudanganyana tu akisema peoplesssss wew unasema powerrrrrrrrr[emoji16][emoji16][emoji16]Kuna sista mmoja nilikuwa namkubali sana ila alikuwa anapenda mno kushinda siasani anajua siasa mnoo.
Aaah nikaihirisha asee. Wanawake wajuajo mi siwapendi
HahahahHahah utapata mara ngapi mkuu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahah haina noma mkuu,usisahau kutupia ka selfie kidogo mkuu
Mimi kipindi najiunga jf nilikuwa naoebda siasa. Ila utawala wa huyu baba umenifanya nichukie hata kuziona zikijadiliwa tuuTupo wote kule mm huku nlikuw napita tu njia nkakutana na iceman 3D ikabid tuanzshe kijiwe hpa mara Leo akatokea whitehorse bas maisha yanaendelea. Tatzo la kule sku siasa sio tamu sanaaaa mpk uh najkuta bored bhan.
Hahah hio sikuipata mkuu ndo mana napendaga ku keep profile tu,humu kuna wajuvi wanajua kuumbua wenzao hatari,kuna yule mchizi ye alikuwaga anaomba elfu 20 huko PM(kwa washkaji+kwa mademu) afu harudishi aisee watu waliamshiana humu mpk alipigwa ban ya maisha nadhaniMimi huwa nyuzi nazikosa hizo hahahah
Napenda sana sku ni shuhudie
Ila kuna sista wali wahi mchanaga hapa kuwa anamponda jamaa kuwa mshamba ila waungwana waka mwambia jamaa alisha mlla yey na refiki zake, mara yeye ana jiuza, wakataja hadi chuo anachosoma wacha sista aombe uzi ufutwe [emoji1]
Karibu sanaaaHio ni kweli mkuu,mi kwa kukesha ndio mwenyewe ile iceman te hua ni kiboko, ntakua nawachek pande hizi kama mnakuwepo around wazee.
HahahahaHao ndio wazuri hao full kudanganyana tu akisema peoplesssss wew unasema powerrrrrrrrr[emoji16][emoji16][emoji16]
Ogopa sana humu siyo mahali pazuriHahah hio sikuipata mkuu ndo mana napendaga ku keep profile tu,humu kuna wajuvi wanajua kuumbua wenzao hatari,kuna yule mchizi ye alikuwaga anaomba elfu 20 huko PM(kwa washkaji+kwa mademu) afu harudishi aisee watu waliamshiana humu mpk alipigwa ban ya maisha nadhani
Hahah aisee navioneaga huruma afu bado ni vi teen 18-22 still vina long way to go.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daaah! Halafu unakuta hao ndio madem zetu eti.
Anakwambia weekend hii niko busy. Kumbe kapanda ndege kwend kuliwa
Sina hamu
YeahHahah aisee navioneaga huruma afu bado ni vi teen 18-22 still vina long way to go.
Ila najua wanafanyiwa yote hayo sababu ya kupenda mambo makubwa,vinataka zile picha za PRAY FOR ME@ AIRPORT,mara kamepiga picha kwenye ndege hahah.
Ahah hawana tofauti na kuwa na demu Mwanasheria cha moto utakipata aisee.Kuna sista mmoja nilikuwa namkubali sana ila alikuwa anapenda mno kushinda siasani anajua siasa mnoo.
Aaah nikaihirisha asee. Wanawake wajuajo mi siwapendi
Hahah mabaharia yale mawimbi ya kwenye maji huwa yanawafanya wanakua nusu fyatu mkuu.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Jamaa maisha yake nadhani yaliharibika US hawez kuwa sawa kichwani yule
Daaah! We jama unakuwaga on point kinyama yaan[emoji23]Ahah hawana tofauti na kuwa na demu Mwanasheria cha moto utakipata aisee.