Wote tuliopo hapaNani aongoza mkesha?
Mkuu nilikusahau ujue nikiamini kuna mtu kaigiza id yako.Ww nini huku!!!
Haya si muda ntafanya hivyoKama umechoka pumzika tu manga usijichoshe zaidi
Sawa mangaHaya si muda ntafanya hivyo
Niko poa sana, mimi Kagema ndg. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu nilikusahau ujue nikiamini kuna mtu kaigiza id yako.
Uko poa.
Karibu bahati leo sipo vema na hisi tupp wengi leoYan leo sijui ndo nakoment hapa!... Napitaga kimya kimya!
Hakuna kulala humu popoooo tu
Post sent using JamiiForums mobile app
Mimi nitoe sina mda sanaWote tuliopo hapa
Usiku mwema ulale salamaMimi nitoe sina mda sana
Nilipo kuona kapuku kule ndo nikajiamisha ha ha haa siku za mbele umrudishe lakiniNiko poa sana, mimi Kagema ndg. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wewe pia ukeshe salamaUsiku mwema ulale salama
Mie hadi mornie leo! Kesho nipoo home sitoki, naanza kumfatilia Daby taratibu kimya kimyaKaribu bahati leo sipo vema na hisi tupp wengi leo
Uliowataja ndo wanao keshaga kumbe?... Ok asante kwa taarifa muhimuAya zamu ya walinzi...walala nje... Shift za usiku... Wenye stress... Twende sasa ukumbi wenu huu
Post sent using JamiiForums mobile app
Uko wapi mamaNdio inabidi tumsisitize asikikimbize sebuleni akirudishe chumbani tuu hakuna namna