Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,005
- 11,319
Wale wenzio huwa wanasema kobe hachoshwi na nyumba yake,[emoji40]Bila shaka PM wako kakusuta [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ndio, kama afanyavyo jogooMguu moja !!!
Itakuwa nina usingizi kwani Nimeandika lugha gani???Hiki kilugha chenu kigumu bwana, naomba unitafsirie....[emoji134]
Lala ukue maana naona unataka kunifukulisha makaburi ya wahenga wenzangu [emoji23]Wale wenzio huwa wanasema kobe hachoshwi na nyumba yake,[emoji40]
Uzuri akili yangu inajua jinsi ulivyo mzuri katika kugeuza mashtaka[emoji125]
Kwani nawe unaweza kuwika???Ndio, kama afanyavyo jogoo
Hayo bwana kwa mara ya mwisho niliyanywa kabla Dodoma halijawa jiji....kwahiyo usiyasingizie bure[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Punguza Maji ya Mlima mrefu Africa
Umeandika kisandaweItakuwa nina usingizi kwani Nimeandika lugha gani???
Hivi hiki ni kilingala eeh?Which benefits are talking about?
Naomba nikutafsi... KeshoUmeandika kisandawe
Za nini? [emoji848]Hisia
Basi kuja haraka hapaSijawahi onja konyagi tangu huyu ngosha aingie nyumba nyeupe.....labda unipe ofa leo
[emoji23] [emoji23]Lala ukue maana naona unataka kunifukulisha makaburi ya wahenga wenzangu [emoji23]
Yaani kusema kokolikooooo tu ndo kunishinde khaaa nitakuwa mzembe wa mwisho sasaKwani nawe unaweza kuwika???
Kali sana, hizi Hisia za kuto kulalaZa nini? [emoji848]
Jana yao![emoji53]Kesho yetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hayo bwana kwa mara ya mwisho niliyanywa kabla Dodoma halijawa jiji....kwahiyo usiyasingizie bure