JamiiForums Usiku wa manane

Jamani naomba niwaage mume ndio anaingia, niwatakie usiku mwema nyote, thanks for campan
 
Ni pm nikupe chemistry ya iyo kitu maana unaeza tengeneza hata ukiwa home.. C unajua tena Sie against them.. Watakoma!
Usiende tu kumpa ile chemistry yenu ya kojo akaharibu kichwa ya kijana wa watu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ungea vizuri na kakaangu, ila tuu make sure hauna anguko la kiuchumi [emoji28][emoji28]
Maana naskia kuna msemo wanasema bora umwage machozi kwenye vogue kuliko kumwaga machozi kwenye baiskeli [emoji6]
Huba likikolea hana ujanja huyo [emoji23] atanuna mwisho atacheka, [HASHTAG]#Financial[/HASHTAG] crisis [HASHTAG]#hahaha[/HASHTAG] kwa shida na raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…