JamiiForums Usiku wa manane

Ilikuwaje ukalipa pasipo kuwa na sababu za msingi?
 
Ilikuwaje ukalipa pasipo kuwa na sababu za msingi?
Hawakuniambia ni mahari, nilifanya kazi za shamba miaka mitano bila malipo, nilipotaka kuondoka wakaniambia chukua binti yetu ukaishi nae, tumekuona wewe ni kijana mzuri, na mahari yake ni miaka 5 uliyofanya kazi. Kiufupi sikuwa na uwezo wa kukataa.[emoji40]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…