Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,005
- 11,319
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Thubutuuuu kwa walowezi juzi tu hapa tumebeba ndoo, kwa manamba napo bado tuna kumbukumbu ya mil.600...chezea wewe[emoji123] [emoji123] [emoji123]
Kaka yake na bibi yake mama ambae amemzaa Mpoto.Mjomba yupi, huyu wa bongofleva au kaka yake mama?[emoji53]
Wacha weeee...bila shaka ulipewa binamu yako. Hongera sana![emoji23][emoji23][emoji23]Hawakuniambia ni mahari, nilifanya kazi za shamba miaka mitano bila malipo, nilipotaka kuondoka wakaniambia chukua binti yetu ukaishi nae, tumekuona wewe ni kijana mzuri, na mahari yake ni miaka 5 uliyofanya kazi. Kiufupi sikuwa na uwezo wa kukataa.[emoji40]
[emoji23] [emoji23]Wale watu wako wawili washaniteka, usihangaike kunishtaki hutanipata katu
Lina heshima yake mkuu karibu zaidi ya EPL.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi kumbe lile nalo ndoo, basi Mzee Wenger yale anayo mpaka sitting rum kwake
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Kesho sitakuwa na nafasi[emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji23][emoji23][emoji23] hivi huyu timu gani vile?Hahahaha yetu macho tu msije mkageuka daftari la watu kuandika historia tu.
Sisi wenyewe kama ni historia ni waandishi wazuri tu, kula kabisa mchicha kwa wingi ili baadae macho yaone vyema[emoji125]Hahahaha yetu macho tu msije mkageuka daftari la watu kuandika historia tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] maneno ya mkosaji bwana![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi kumbe lile nalo ndoo, basi Mzee Wenger yale anayo mpaka sitting rum kwake
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Wacha weeee...bila shaka ulipewa binamu yako. Hongera sana![emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa tambo hizi utanifanya kesho niahirishe mambo yangu nione mnavyochakazwa [emoji4] [emoji4] [emoji4]Sisi wenyewe kama ni historia ni waandishi wazuri tu, kula kabisa mchicha kwa wingi ili baadae macho yaone vyema[emoji125]
Hongereni sana[emoji122] [emoji122]Lina heshima yake mkuu karibu zaidi ya EPL.
Ombi lako limepokelewa na limekubaliwa [emoji35] [emoji49] [emoji83] [emoji88] [emoji89] [emoji84][emoji57] [emoji57] [emoji57]
Naomba Mizimu ya Jua utekwe tena na round hii wasikuachie.
Thawa nimekuthoma Bila mkiniangusha hela yangu nilionunulia mchicha utairejesha aisee.Sisi wenyewe kama ni historia ni waandishi wazuri tu, kula kabisa mchicha kwa wingi ili baadae macho yaone vyema[emoji125]
Thawa nimekuthoma Bila mkiniangusha hela yangu nilionunulia mchicha utairejesha aisee.Sisi wenyewe kama ni historia ni waandishi wazuri tu, kula kabisa mchicha kwa wingi ili baadae macho yaone vyema[emoji125]
Nikumbushe ni wimbo wa nani vile?[emoji23] [emoji23] [emoji23] maneno ya mkosaji bwana!
[emoji57] [emoji57]Kwa tambo hizi utanifanya kesho niahirishe mambo yangu nione mnavyochakazwa [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Thawa nimekuthoma Bila mkiniangusha hela yangu nilionunulia mchicha utairejesha aisee.
kama kukuWadau humu walisanda mapema sana