JamiiForums Usiku wa manane

Inategemea km shoka lenyewe mapengo tupu na mpini wa bua la muhindi kwa nn kisu kikali kisiweze??
Usijidanganye ndugu yangu,kisu hata kiwe na makali vipi hakiwezi kukata kisiki cha mpingo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…