JamiiForums Usiku wa manane

haya sasa wale dada zetu kombe la dunia sasa limeshafika kikomo tunangojea tena miaka kadhaa ijayo natumai mahusiano ya ndoa yatakuwa yanaendelea mubashara sababu za mpira sasa zimekwisha.......

kila mtu apambane na hali yake hakuna kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…