JamiiForums Usiku wa manane

Wakuu salama? Kuna member (sitamtaja) alinipa shortcut ya kuopoa wadada hapa jf. Kuwa ukiwa unakesha kwenye huu uzi na wadada kwa week mbili tu utakua umeshapata hata mmoja. Naomba kuwasilisha nitaanza rasmi kukesha kesho
 
Wewe kweli jipu
Uko uko humu toka 2015 una likes 1553[emoji23]
 
Wakuu salama? Kuna member (sitamtaja) alinipa shortcut ya kuopoa wadada hapa jf. Kuwa ukiwa unakesha kwenye huu uzi na wadada kwa week mbili tu utakua umeshapata hata mmoja. Naomba kuwasilisha nitaanza rasmi kukesha kesho
Wanaokesha hawajaolewa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]
 
Wakuu salama? Kuna member (sitamtaja) alinipa shortcut ya kuopoa wadada hapa jf. Kuwa ukiwa unakesha kwenye huu uzi na wadada kwa week mbili tu utakua umeshapata hata mmoja. Naomba kuwasilisha nitaanza rasmi kukesha kesho
Bora bana uje utusaidie lindo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…