JamiiForums Usiku wa manane

Ngoja nifunike kombe mwanaharam Jiwe apite tu
 
pilau lenyewe lilikuwa la kibabe?,tonge nyama,tonge kiazi? au lakawaida?.maana unakula kodi yako hapo so ni wajibu wao kukupa kilicho bora.
Pilau lilikuwa tonge harage,tonge harage mi nililazimika kulikwepa maana nilikuwa nishabonyea mtaani hivyo hata sikuhangaika nalo.Sio kodi tu maana na 2000 tumechangishwa tena kwa lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…