but baby!!!, i am here and nlishindwa kuja tym hizo kutokana na mashida tuu.Mie naogopa kumuuliza asije nijibu jeuri nikashindwa kulala tena Manga
Embu kumbuka nimeteseka siku ngapi? Hata hakutaka kunipa taarifa
enheeeNakuamini sana tu nasubili
Jeuri hiyo hana muone alivyo mpole juu yako kwanzaMie naogopa kumuuliza asije nijibu jeuri nikashindwa kulala tena Manga
Embu kumbuka nimeteseka siku ngapi? Hata hakutaka kunipa taarifa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli bhana hali huwa tete ukiwa mpweke at wala sikulaumu karibu tena
haaa![emoji4]I missed you more baby [emoji26]
No problem honey, uwepo wako ni furaha yangu tosha, sihitaji uzungumze chochotebut baby!!!, i am here and nlishindwa kuja tym hizo kutokana na mashida tuu.
ila unataka nn ni ku explainie now, ntaeleza tuu!
Najua najua kawaida yetu hiyobraza mitihani ya maisha si unajua tena
ila nikajua lazma mtalisongesha na naona mlienda enda si haba thougj sja jua nimekosa mangapi
Nipo apa nimepoa kama maji ya mtungienheee
safi kuwa mpolee hivo hivo [emoji23]
ahksanti mi luvNo problem honey, uwepo wako ni furaha yangu tosha, sihitaji uzungumze chochote
Hapana mimi bila ya kumuweka sawa usingekuta hali hii weww kua mpole tu na ujuw wazi nimefanya kazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ila.kaka na wewe naona ndio una kandamizia kabsa.
ila naona its gud hakuepo
A lot of people ila kakaangu alijitahid kuwafukuza mpaka nikawa najiuliza maswali vipi kuna rushwa imetembea kwa mybroo? Maana sio kwa ulinzi ule.haaa![emoji4]
now am happy hata uso yangu ina ng'aa kwa kweli.
tel me how was the week, nan alikuwa akisumbua?
hahahaNipo apa nimepoa kama maji ya mtungi
Marahabaa bwana shemeji!aah! bwana shemeji shkamoo
nilipatwa na shida kidogo.
hivo nikapoteana
ahsante sana bro itabid nipitie pitie nione povuu.Hapana mimi bila ya kumuweka sawa usingekuta hali hii weww kua mpole tu na ujuw wazi nimefanya kazi
hahahaA lot of people ila kakaangu alijitahid kuwafukuza mpaka nikawa najiuliza maswali vipi kuna rushwa imetembea kwa mybroo? Maana sio kwa ulinzi ule.
Na Utoe maelezo yaliyonyooka hapo.but baby!!!, i am here and nlishindwa kuja tym hizo kutokana na mashida tuu.
ila unataka nn ni ku explainie now, ntaeleza tuu!
ahksanti bwana shemeji.Marahabaa bwana shemeji!
Na pole sana kwa yote yaliyokusibu, kwa kuwa uko salama Sina shaka mdogo wangu sasa furaha yake itarejea.