Jikaze...kunywa maji..ulale bwana....Nyie jamani mimi mwenzenu njaa sijui diet chakula cha usiku ule saa kumi na 2 tena laini siwezi,nimejaribu leo matokeo yake hapa njaa inauma balaa actually siwezi tena kulala,navaa nguo nikatafute kiepe kwa mpemba.
Mambo yanasonga kamanda.nipo chief, muda ulikua unabana kila kona...mambo yanaendaje lkn!
pole, uwe unakula ugali usikuNyie jamani mimi mwenzenu njaa sijui diet chakula cha usiku ule saa kumi na 2 tena laini siwezi,nimejaribu leo matokeo yake hapa njaa inauma balaa actually siwezi tena kulala,navaa nguo nikatafute kiepe kwa mpemba.
Dugu mjumbe, Mibado janki sana tofauti na watu wengi venye wananiwazia [emoji39] [emoji39] [emoji39]Kwa jf sishangai unaweza kuta wewe ni kababu bomba
Munchie nimekumiss tumajukumu ya kukimbizana na muda tu...habari yako!
No worries when am with you..No worries
safi...nafurahi kujua hivyoMambo yanasonga kamanda.
Zile kopa za jioni..kwenye web zilikuwa/zinaonekana nyeusi...kidogo nizimie.No worries when am with you..
PM sijaweka chujio mkuu, karibu ndani....tehteehh [emoji12] [emoji12]Halafu pm zako bado zinachunjwa au?
Pole! Diet inabidi ujitoe. Kama unafanya hivyo nunua japo matunda uyaweke ndani.Nyie jamani mimi mwenzenu njaa sijui diet chakula cha usiku ule saa kumi na 2 tena laini siwezi,nimejaribu leo matokeo yake hapa njaa inauma balaa actually siwezi tena kulala,navaa nguo nikatafute kiepe kwa mpemba.
ooh! nimukumiss pia Monchou![emoji18]Munchie nimekumiss tu
Nakuletea mkuu, upo lindo lipi?Mwenye yale mafuta ya mbu anisaidie, naona wananishambulia balaa.
Hii zilikua nyekunduuuu kabisa kuonyesha ndio pendo limeiva. Ngoja niziwele tenaZile kopa za jioni..kwenye web zilikuwa/zinaonekana nyeusi...kidogo nizimie.
Kulikoni kunitumia kopa nyeusi???
Nakuletea mkuu, upo lindo lipi?