Microgynon
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 853
- 1,069
Poa zima notifications basi ukalale na mahondaw hukoruNakua online kwa sababu ya notifications zina pop up kila mara... nikifungua ndiyo naonekana online...
Cc: mahondaw
Hahaha nakuja muda c mrefu hapo.View attachment 840798 the fuzz [emoji1][emoji23]
Oya manafyale. Tuko wengi wakukaja ujue[emoji4] [emoji4]Oyoooo mwanambeya mwenzangu karibu musoma huku, uje kabisa na panga lako ulinoe vizuri in case ikitokea nongwaaa [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajifanya unajuaa mambo ya lindo haha. [emoji12]Don Clericuzio ujue mlinzi hatakiwi kula mda wa lindo, atalegea usingizi utampitia.
Si unajua shibe mwana malevya.
Ukiwa lindo umepiga nyagi kuna muda njaa inakaba.Don Clericuzio ujue mlinzi hatakiwi kula mda wa lindo, atalegea usingizi utampitia.
Si unajua shibe mwana malevya.
Ukahisi wanakudiss ?Kuna radio station nimefungua wanaimba wimbo wa Bushoke, Mume Bwege.
Sent using Jamii Forums mobile app
kula kitu gani amu ?Don Clericuzio ujue mlinzi hatakiwi kula mda wa lindo, atalegea usingizi utampitia.
Si unajua shibe mwana malevya.
The fuzzfyddell naomba savanna baridi hapo the fuzz,niko njiani ndo namalivia kuvaa travolta hapa