Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Hahaha, km hivi tuna linda JF usiibiweHahahaha inapendeza sana kulinda kimataifa, karibu nchi ya jiwe kuu la pembeni utupe ujuzi wa kimataifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nashukuru sana komredi, shurba ninayoipata saivi sio ya kawaida ikifika saa 3 bawaba za macho zinagoma kabisa kufanya kazi.
Hapana mkuu, yeye ni role model tuMkuu wewe na Sese Seko mna undugu?
Umeona sasa,mm nalinda kwa drone na satellite ,hahahaHata Mimi nahisi nikaugonjwa ketu wengi
hahahaHahaha huyu namjua unaweza ukafikiri kalala kumbe anachungulia kama sungura. Hiyo ni tekinik mpya ya lindo ameipata huko North Korea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni hivyo lazima mda wako ubadilike tofauti na sisi tulioko ardhini
Poa poa kamandaNashukuru sana komredi, shurba ninayoipata saivi sio ya kawaida ikifika saa 3 bawaba za macho zinagoma kabisa kufanya kazi.
Nawapongezeni kwa kua ulinzi bado ni imara kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nashukuru imeisha,
EwaaaaKama ni hivyo lazima mda wako ubadilike tofauti na sisi tulioko ardhini
bbade nakusalimu mtoto mzuriKama ni hivyo lazima mda wako ubadilike tofauti na sisi tulioko ardhini
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaha
Bibie sema unasubiria J4 kwa hamu, J3 ndo tushaianza ivyo..Yaani nashukuru imeisha,
J3 naisubiria kwa hamu