mmmh!Kwaiyo umemruhusu akasinzie sioe, na mimi nahisi kusinzia sinzia nishtue basi kama unavyomshtuaga "munchie wako" [emoji39] [emoji12] (natania, ukimaliza kusoma futa asije akaona)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nashangaa anamuwahi mwingine
Amekataa
Haha nashukuru nimekuongezea siku za kuishiNimecheka tu
Mmmh!mmmh!
Mmh huko sasa, ukidakwa na mlinzi wa shule mi simo, sijui utajiteteaje... ntakukana kama petroNa panga Kuku wenye kamba sugu wako wengi
duuh!! [emoji19][emoji134]Oooh Hallelujah natamani huyo munchie wako Mungu ampe hata usingizi wa wiki 3 niendelee kufaidi haya mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
umpeleke feri huyo akashangae vizuri,Wanashangaa feri sio huku
Basi basi nitakuja na kisu ulinzi wa shule ile sio kabisa wanajifanya wanajua kuliiindaMmh huko sasa, ukidakwa na mlinzi wa shule mi simo, sijui utajiteteaje... ntakukana kama petro
kumbe ndio yanayoendelea humu sio!!!Mmmh!
kuanzia kesho atakua mpenzi wa nani?NDUGU WANA LINDO
Kwanzia leo Astelia ni mpenzi wanguu mimi Davinci
Asante sana kama services yangu umeipenda mkuu,, inabidi ufanye hvyo ili haya mambo yawe daily hapaCustomer service yako nimeipenda. Inabidi tufanye mpango tuongee na jamaa wa procurement akupe hii tenda. Tunahitaji hii kitu daily
Ameniangusha sana,, na kukomaa kote vile anashindwa kumalizia mkia,, wakt ng'ombe mzma tyl amekulaHata mimi nashangaa anamuwahi mwingine
Itakuwa hukumkarbsha kwa bashasha mkuuAmekataa
[emoji87][emoji87][emoji87]@bbade njoo wifi yangu