JamiiForums Usiku wa manane

Windo limenasa. Naelekea mdogo mdogo kwa zile nyumba. Kesho tena Mungu akipenda

Jesus is my saviour and a friend
sleep well Jj
nimejiskia poa sana leo kubadilishana mawazo na vicheko with such a beautful girl as you

sleep well
 
Jamaan acha niwaache nilale sasa mnanifurahisha na matani yenu siku yangu imeisha vizuri nawapenda sana sana jirani yangu ice man, manga, kichwa kichafu na ivuga [emoji8][emoji8][emoji8] ney jamaan miss u
 
Life's too short jamaan tufurahini tu kama hivi na maisha yaendelee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha ha haaaaaaaaa akupe jibu

Sikua nikijua kama ukiwaza tu inakua ha ha haaaa

asee bosi eeeh
ujue bhana maisha bhana ni kama bahari
ukibishana na upepo unakovuna
lazma uzameee.

[emoji23]

Mdogo wangu vipiii nimecheka balaaaa ha ha haaaaaaa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ehee endeleaa mii simoooo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…