[emoji3][emoji3][emoji3]Nyie ni ndugu au mnaanda mazingira ?
Huyo kwenye avatar ndo wewe au unamuhuzisha sura tu ? Km wewe basi mashaalah[emoji3][emoji3][emoji3]
Sio mimi mkuu namuuzisha tu suraHi
Huyo kwenye avatar ndo wewe au unamuhuzisha sura tu ? Km wewe basi mashaalah
Ahaa ndo wewe sema tu unanibania au waniona team assist ?Sio mimi mkuu namuuzisha tu sura
Umefurahi nini?[emoji3][emoji3][emoji3]
we jamaa leo umekuja mapema kwel kweliUmefurahi nini?
Kwelii sio mimi wala sifanani nae me ni bonge flaniAhaa ndo wewe sema tu unanibania au waniona team assist ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh mshapoteana tayari leo ntapambana na hali asee dah
Tupogooohili jukwaa watu wameenda wap?
[emoji3][emoji3]Alivyowauliza jamaam ivuga kama nyie ni ndugu auUmefurahi nini?
Ewaaaa kila mtu apambane na hali yakeDuh mshapoteana tayari leo ntapambana na hali asee dah
asee sja kucheki ndugu yanguWoyoooo hatustuani?
Kwema humu
Najua alipo jirani week ijayo anarudi jf alipumzika kidogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ewaaaa kila mtu apambane na hali yake