Hahahaha waptrick ulikua ndio moja ya mitandao mikubwa mno ila sikuizi madogo hawawezi ujua. Kwanza vitu wanavyotumia mule hakuna. Juzi hapa nimeona dogo anacheza game la call of duty lina ukubwa wa 36 GB
Ukute nyie pia ni madogo ila hapa mnajifanya wakuubwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dadeq, watoto wa siku hizi hawana roots, wamezaliwa kwenye branches, hawajui hata kulikuwaga na word perfect 95 [emoji23][emoji23]
Haya ngoja nilikariri jibu lake[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23] hapana mkuu ni majibu sahihi kwa maswali magumu,
[emoji16]hii yote ni sababu hutaki kuja geto ndio maana mpaka unaniita dogoUkute nyie pia ni madogo ila hapa mnajifanya wakuubwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tecno hajaweka projection yake kwenye soko la uingereza au america, anadili na Africa km major export, anajua tunahitaji cheap stuffs na zenye quality moderate,Ooh, ila tecno yuko moto kila siku anatoa simu mpaka za elfu 60[emoji23] nilisikia marekani na Ulaya hakuna product za Tecno
Hallo Moto! (voice)Motorola walikua vizuri sijui kwanini wamepotea sahivi
Ila simu zao bana.kwa ku ganda wapo vizuri .simu inakua nzitoooTecno hajaweka projection yake kwenye soko la uingereza au america, anadili na Africa km major export, anajua tunahitaji cheap stuffs na zenye quality moderate,
Hiyo boredom ndiyo tunaishi nayo wenzioAmelala lindo leo kitanda kinaboa[emoji23] [emoji23]
naona unaelekea kwenye ile kesi yako iliyokosa wakiliSina haja na umri wao, namaanisha nani bi mkubwa nani bi mdogo
[emoji23][emoji23][emoji23] sisi tumeshuhudia tu mabadiliko yakitokea,Ukute nyie pia ni madogo ila hapa mnajifanya wakuubwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naomba umsameheKasahau mila na taratibu zetu za kibantu,,,
Kumbe ulikua umeshatoka ushirombo kipindi hiko[emoji2]Hallo Moto! (voice)
karibu mkuuNdo naingia lindo ivyo!
Ndo maana usiku nimeota nimetekwa eeeh![emoji848][emoji848][emoji848]Alisema atakuteka yeye hajaribiwi kama jiwe
Check Ram mkuu, simu inayoganda ina ram 512Mb, yenye kuanzia 1Gb Ram huwa ziko faster kama kawaIla simu zao bana.kwa ku ganda wapo vizuri .simu inakua nzitooo
Boredom = opportunity to explore and prosperHiyo boredom ndiyo tunaishi nayo wenzio
pamoja kiongozi sema huwa inatokea kama gaflaiceman kitambo sana sijamwona, muwe mnaaga
Hahaha mna maana nyie, kusikia kesi tu watu mkasambaratika mkahama mpaka kijiwe [emoji23] [emoji23] [emoji23]naona unaelekea kwenye ile kesi yako iliyokosa wakili
Nilikua nayo Tecno p5 mwaka 2015 nikauza nikarudi kwenye Samsung tena mpaka leo hua ni samsung tuCheck Ram mkuu, simu inayoganda ina ram 512Mb, yenye kuanzia 1Gb Ram huwa ziko faster kama kawa
nimekuja kwenye katani sijakuona au umejificha tuanze michezo ya kombolelaπππNipo huku nje kwenye hizi katani