JamiiForums Usiku wa manane

Hata sichokagi sababu ya usingizi. Nimelala mapema ndo maana nimewahi kuamka. Hata nikilala nusu saa tu namaliza usingizi..
 
Hata sichokagi sababu ya usingizi. Nimelala mapema ndo maana nimewahi kuamka. Hata nikilala nusu saa tu namaliza usingizi..
Aisee. Usingizi muhimu sana. Jaribu kuwa na ratiba inayoeleweka na hakikisha unapata angalau masaa yasiyopungua saba kila siku. Wanasayansi wanasema kuwa kutopata usingizi wa kutosha pengine ndiyo kisababishi kikuu cha kansa karibia zote; na tayari katika nchi za wenzetu huko watu wanaofanya kazi zenye shift za usiku kama manesi, polisi na wengineo wameanza kutambuliwa kama watu wanaofanya kazi za hatari na kulipwa posho maalum. I take sleep seriously...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…