JamiiForums Usiku wa manane

Aisee keshalala nazani zali lako apo
Wewe jamaa unanichuza wewe.
Ngoja tumu alert akija ujue yupo. Leo nakesha naye hapa manake mchana alikuwa anakunywa kahawa sikujua ana maana gani. Kumbe leo yupo na mimi.
Aisee huyu mtoto ananipenda sana sikukosea kumpa moyo wangu.
 
Simuoni au wewe unamuona usingizi haumuachi mtu salama ujue
 
[emoji32][emoji32][emoji121]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…