JamiiForums Usiku wa manane

Ok twende mana naona ushaanza mistar yako kwa culture gal
Uzuri wako ushanifahamu mmeo.
Mimi huwa nafurahisha jamvi tu. Ila mambo ya serious ni mimi na wewe huko nje ya box.
Ndio maana watu hawakusogelei hapa Jf. Nikiona mtu anakuzoea namfata pm au namwambia akalete fimbo afu namcharaza bakora mbele ya kadamnasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…