JamiiForums Usiku wa manane

Nimekuja kwa niaba ya wanaume wa visiwani bila ya kuwasahau wa dar na mikoani.
 
Wanasubiri kukuche ndo waje kutaja muda/ kupost habari picha na kuunga mkono hoja[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha na kweli ndo zaao kujifanya naunga mkono hoja ngoja siku hyo mikono iwakatike ndo akili zitawasogea
 
Unavyosikia hyo haki sawa unaelewa nini mkuu labda tuanzie hapo
Bungeni kule tunasikia 50 kwa 50
Wanawake wanaharakati tunawasikia wakisema bila kuwezeshwa mnaweza
Sasa sijui yana ukweli kiasi gani
Kweli sisi wanaume hatuwawezeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…