JamiiForums Usiku wa manane

Ila usisahau ya kuwa kuna baadhi ya watu huwa wanasema naongea sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ngoja nitaanza kukufuatilia kimya kimya kisha nitapata jibu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ngoja nitaanza kukufuatilia kimya kimya kisha nitapata jibu
Unanifatilia wapi humu jf ? Humu ni ngumu sana kuupata ukweli kuhusu mimi.

Naweza mimi nikawa ni miongoni mwa wasanii nguli tuliopo humu jf.

Ila najua wewe ni mtu mzima mwenzangu,unajua ni namna gani ya kuupata ukweli kama ulivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…