JamiiForums Usiku wa manane

Wataka nikubali nakunywa wakati sinywi? Hats Sikh hiyo nilikunywa kutokana Na msukumo wa marafiki(tulikua twabishana) kuna vitu vingi vinamfanya mwanaume awe Gentleman ila unywaji was kilevi katu haumfanyi MTU kua G'man
Kwan wewe unajua maana ya Gentleman, hivi unajua Baada ya kazi ya kutwa ya kujenga nchi na kuleta mabafiliko, mabingwa wanakutana pamoja na kujumuika na kunywa Safari Lager, tangu mwaka 1977 inafahamika hivyo, sasa wewe ni nani kusema huo sio uGENTLEMAN?? Umesikia wapi MAGENTLEMAN wanakutana kujipongeza na juice na milk, Hamna Gentleman ambaye hanywi hata Wine, Whisky, Beer, hajawah kutokea dunia hii. We are the Gentlemen, and we Drink Occasionally!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…