Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,932
- 3,406
Hamna mtu ambaye hapendi sifa, wahaya mmewabandika hizo sifa ndomana wanawafanyia hivyohivyo, hata mhaya asiyejua kitu atajifanya anajua na amesoma kwasababu anaamini ndo mnavyomchukulia hivyo, km walivyokuwa wamakonde na wazaramo a.k.a waswahili wanaamini jamii inawachukulia km watu wanaopenda mambo ya kiaina flani nao wanayafanya hayo hayo, au watu wa arusha wanavyochukuliwa km wasela flani wahuni tu a.k.a wadudu nao wanaishi maisha yao kureflect hivyo ila makabila yote yapo sawa tu, mnavyowachukulia ndo wanavyoishi,Hapo ila wahaya namba uno hawa watani wangu.. Nachekaga sana mambo yao
Nakumbukia wimbo was J Cole tu hapo..Uno, Dos, Tres, Cuatro, Cinco. ...umenikumbusha vidudu/chekechea
habari..[emoji25][emoji25][emoji25]
Nzuri, za wewe?habari..
Najua Mapambio tu mimiNakumbukia wimbo was J Cole tu hapo..
Big deal, big wheal, I fall in love with Quick thrill, consistlil., don't give a fu*ck if it kill, it mix well. Am on Count in
Hugo mwalimu afungwe. Aliwafunfisha bila kuwambia in somo la lugha IPI?Hata sikujua lugha nilikuwa nafundishwa tu
Nzuri, za wewe?
Sasa na ukitembea siku nzima unaoza pia, nusa kikwapa chako uone, [emoji3][emoji3][emoji3]Inasemekana,mtu akilala mwili unaoza;mfano amka asubuhi na usikilizie harufu ya kinywa;kwa hiyo mimi silali mpaka kieleweke.
Anzisha kidogo tuoneNajua Mapambio tu mimi
ha ha ha haSasa na ukitembea siku nzima unaoza pia, nusa kikwapa chako uone, [emoji3][emoji3][emoji3]
Umesahau ubongo wangu. ...GoldfishHugo mwalimu afungwe. Aliwafunfisha bila kuwambia in somo la lugha IPI?
Toeni Sadaka kwanza. .siimbi bila sadakaAnzisha kidogo tuone
Hajambo kabisa , anaubembeleza usingizi hapa ingawa umegoma .salama kabisa, Simara hajambo!!
Sadaka ni upako toka kwa bwanaToeni Sadaka kwanza. .siimbi bila sadaka
MimiMaison now.....nani yupo around nimpe mauno ya sotojo....lols
Hajambo kabisa , anaubembeleza usingizi hapa ingawa umegoma .
Sadaka ni upako toka kwa bwana
Nine SAA ngapi?Tuyaachie hapo. ..ukija chukua funguo nitakuimbia