Maisha ni lazima yaendelee. Timu mpya lazima ziundwe. Na soka lazima liendelee...Ndiyo maisha !!!
Show inakaribia kwisha. Vimeingia vimbaumbau. Hata raha hakuna. Mi naondoka zangu [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Mkianza kuwarushia ela wataanza kufanya kweli
Furaha ya macho ni kuona[emoji23][emoji23][emoji23]
Ohooo unafikiri natania?
Nimesema Mbagala sihami [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu, hayo ni maoni yako binafsi na siyo fikra jumuishi yenye ukweli. Haya mambo hakuna fomyula. Ni kila mtu na lwake mkuu...Ndani ya vazi yuko poa,akitoa vazi unaweza kugairi
Ha ha ha tatizo hamjawawezesha,mkiwawezesha wanaendeleaShow inakaribia kwisha. Vimeingia vimbaumbau. Hata raha hakuna. Mi naondoka zangu [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Mtoto wa Masaki mambo ya Uswazi Mbagala utayaweza kweli? I doubt it !!!Naomba siku moja unialike na mimi nije kufurahia mambo ya Mbagala[emoji39][emoji39][emoji39]
Show inakaribia kwisha. Vimeingia vimbaumbau. Hata raha hakuna. Mi naondoka zangu [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Jimama limechoka naona. Kuna jingine zuri zaidi lakini naona lina aibu...Ha ha ha tatizo hamjawawezesha,mkiwawezesha wanaendelea
Uko sahihiMkuu, hayo ni maoni yako binafsi na siyo fikra jumuishi yenye ukweli. Haya mambo hakuna fomyula. Ni kila mtu na lwake mkuu...
Na yalivyo sasa, hapo hata ujikaze vipi huwezi kuyabandua hapoFuraha ya macho ni kuona
Vimbaumbau mimi hapana kwa kweli. Hata nilale na kimbaumbau uchi wa mnyama hakuna lolote. Nitaboreka tu [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji23][emoji23][emoji23] yaani wewe. Kwahiyo vimbaumbau hutaki kuvishuhudia kabisa?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu, hayo ni maoni yako binafsi na siyo fikra jumuishi yenye ukweli. Haya mambo hakuna fomyula. Ni kila mtu na lwake mkuu...
Ha ha ha labda ndio staili yakeJimama limechoka naona. Kuna jingine zuri zaidi lakini naona lina aibu...
Sio mtoto wa ushuani, labda uniambie tu kuwa jogoo la shamba haliwiki mjiniMtoto wa Masaki mambo ya Uswazi Mbagala utayaweza kweli? I doubt it !!!
Kuna picha hapa ningekuwekea ukalale na hiyo taswira ila naogopa pengine nitachafua hali ya hewa [emoji16][emoji16][emoji16]Ndani ya vazi yuko poa,akitoa vazi unaweza kugairi
Wamelifunika kanga ili likate mauno limeishia kujiziba uso na kukimbia. Wanasema lina mume...Ha ha ha labda ndio staili yake
Ha ha ha kama nakuona vileNa yalivyo sasa, hapo hata ujikaze vipi huwezi kuyabandua hapo
Vimbaumbau mimi hapana kwa kweli. Hata nilale na kimbaumbau uchi wa mnyama hakuna lolote. Nitaboreka tu [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Shamba gani mjanja mjanja hivi? Mtoto wa kishua wewe usizuge watu hapa [emoji16][emoji16][emoji16]Sio mtoto wa ushuani, labda uniambie tu kuwa jogoo la shamba haliwiki mjini