JamiiForums Usiku wa manane

Usisahau kuwa sio kila ling'aalo ni dhahabu
Hilo nalijua vilivyo,kama vile sisi waungwana tusemavyo " Uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti" au "Uzuri wa mkakasi ukiutia maji basi"

Almuhimu nalijua hilo,ila pia tunasema hivi " Chema chajiuza" kama vile ilivyo kwa "Chanda chema huvikwa pete"

Wewe utakua mzuri kweli............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…