Kwani walokole nanyi mna tongue skill?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa sisi walokole wa level za kusonga ugali kwa kutumia msalaba, akifikia hali hii ghafla tunakatisha safari na kuanza maombi ya kukemea pepo.
Kukumiss22:59,najiandaa kuingia job sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukikatisha hapo utatukanwa mpaka uombe poooo....
Kwani walokole nanyi mna tongue skill?
Uonevu tu[emoji57][emoji57]Mpaka Ugriki wamepiga marufuku watu wanene kupanda farasiView attachment 896131
Samahani hebu yafanye haya maneno "tongue skill" yasomeke kwa Kibantu.Kwani walokole nanyi mna tongue skill?
Wewe najua ni fundi wa mafundi[emoji23][emoji23][emoji23]Eheeeeeeeee, na mimi utaniuliza au unajua?
[emoji23][emoji23][emoji23] ila wewe![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo ndio ntazidisha maombi nikidhani pepo niliyemkemea ameenda kuleta wenzake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka Ugriki wamepiga marufuku watu wanene kupanda farasiView attachment 896131
Badilisha wewe mbantu, mie sio[emoji23][emoji23][emoji23]Samahani hebu yafanye haya maneno "tongue skill" yasomeke kwa Kibantu.
Waenda wapi tena wewe mnyantuzu?Malizieni lindo salama. Kama kawaida yangu nilipita tu kuwaamsha amsha. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amgekuja kwangu kabla hajafaWanawake muwage na huruma [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 896126View attachment 896127