JamiiForums Usiku wa manane

Afadhali nimepata mtu wa kunitoa tongotongo (nitafsirie basi na mimi nipate cha kuchangia).
Thad tutafsilie basi me mwenyewe nimepaotea hapo tu
Jamaa anasema hivi;

Ole wao wageuzao usiku kuwa mchana,
Ole wao walevi na wavuta bangi,
Ole wao wazinzi na wauaji,
Ole wao waongo na wazandiki

Kiitikio: Watakiona cha moto,
watakipata cha mtema kuni x2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…