Ungewaomba lift wakuwahishe nyumbaniMuniombee sana ndugu zangu kuna Nissan ilikua inanifuata kwa nyuma wakati naelekea home, sijui wanataka nini hawa au walikua wananilinda nifike salama?. shukrani ziende kwao
Mimi hua sipendi lift mana zina ghalama yakeUngewaomba lift wakuwahishe nyumbani
Familia yako ina uwezo wa kututangazia dau au unataka utusumbue bure tuJamani tukatane gym asubuhi
watanzania watachanga nawe ukiwemoFamilia yako ina uwezo wa kututangazia dau au unataka utusumbue bure tu
Umeamka kuchimba dawa au ndo unaenda kulala?[emoji848]Sawa
[emoji23][emoji23] Mm nahisi hawashindwi. Washindwe Hata mbuzi kweli?Familia yako ina uwezo wa kututangazia dau au unataka utusumbue bure tu
[emoji40]Huku bado hakuna watekaji, au ndio sinema linatengenezwa?
Kwa dau la mbuzi hakuna mtz atakaye hangaika nae[emoji23][emoji23] Mm nahisi hawashindwi. Washindwe Hata mbuzi kweli?
Samahani nilisahau kuwa una phonex yako hapoMimi hua sipendi lift mana zina ghalama yake
Niachie mchango wako kabisa kabla hujafika eneo la tukiowatanzania watachanga nawe ukiwemo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] aise, asanteSamahani nilisahau kuwa una phonex yako hapo
Kesho nitakuja kukuomba lift[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] aise, asante
nipo thad nipo mashemeji kiaje?Umeamka kuchimba dawa au ndo unaenda kulala?[emoji848]
Kalibu sana japo leo ilikatika mnyororo so kesho asubuhi nitaifanyia service mapemaKesho nitakuja kukuomba lift
Nimefurahi kukuona mamynipo thad nipo mashemeji kiaje?
Lifanyie kazi suala hilo kabla ya saa 2 asubuhi ili nisichelewe misa ya piliKalibu sana japo leo ilikatika mnyororo so kesho asubuhi nitaifanyia service mapema