Mimi sijambo..hofu na mashaka juu yakoNimefika aisee. Tangu juzi nahaha kukutafuta. Hujambo binti?
Nimekuona. Uko mzima. Nimefurahi. Hata nikienda kulala sasa ninalo ridhiko mtimani.
Hakuna mwenye msambwanda kuzidi wako huo kwenye avatar. Huko kwingine huko naendaga kujibaraguza tu ukiwa haupo. Yaani ukiwepo hapa basi mimi roho kwatu !!!Mimi sijambo..hofu na mashaka juu yako
Nilijua umebanwa na wenye misambwanda yao
[emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa yaani. Nikiwaona huko wa aina hii nawalinganisha na wewe. Tatizo hawakufikii hata robo [emoji16][emoji16][emoji16]
We hujui tu...[emoji23][emoji23][emoji23]
Unanijaza eeh
Mh NoBut you must b somewhere near or more than that[emoji16]
Na ndio maana nimeamua kuiweka forever ili moyo wako uzidi kusuuzikaHakuna mwenye msambwanda kuzidi wako huo kwenye avatar. Huko kwingine huko naendaga kujibaraguza tu ukiwa haupo. Yaani ukiwepo hapa basi mimi roho kwatu !!!
Ulipoirudisha nilifanya kajisherehe kujipongeza hapa. Avatar maridadi ajabu...Siku ukitaka kuibadilisha niambie ili nijiandae kisaikolojia [emoji16][emoji16][emoji16]Na ndio maana nimeamua kuiweka forever ili moyo wako uzidi kusuuzika
Asante sana. Lala salama basi...Haha kesho bana
Simu inazima charg
Really ?Mh No
Thad hawezi kuwa mhenga hivi...[emoji16][emoji16][emoji16]Thad ijia picha yakoView attachment 912387
Amekiri mwenyewe mahali muda si mrefu kuwa ni muhenga[emoji23]Thad hawezi kuwa mhenga hivi...[emoji16][emoji16][emoji16]
Mzee hujalala!!Amekiri mwenyewe mahali muda si mrefu kuwa ni muhenga[emoji23]
Ndio nimeanza kufikilia niende kulala mkuuMzee hujalala!!
Aisee!! Me nipo nalinda hapaNdio nimeanza kufikilia niende kulala mkuu
Mimi namalizia mvinyo wangu ndio nilale, wewe kinachokuweka macho mpaka sasa ni nini?
Lindo halina issue kabisaAisee!! Me nipo nalinda hapa
Hapana....usingizi tu ndio kilevi changu.....