Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Hilo swali huwa najiuliza..inabidi kamati iundwe ya kumtafuta alipo;au amepotea.....Huyu jamaa No Escape ntamfungulia mashtaka. Iweje kafungua usiku kisha atokomee? Haonekani kaacha watu wanapokezana lindo tu.
Namalizia Hangar ya Jeshi, niombe nipite salama, nikidakwa bahati mbaya
Anasababishia watu mtindio wa ubongo na ukosefu wa umakini. Inachukua muda na nidhamu ya hali ya juu kuweza kuzoea kukesha.
Daaah ! Kwani uko peke yako hapo ? Hakuna wa mbele yako au huna elimu ya kuwaita ndege umtume ndege mmoja alete ujumbe huo ? Wewe ukifa huko iwe poa tu....
Acha Utoro
Watakuwepo, chungulia vizuriWadau mpo humu..!!?
Dating a church girl is the best….I cheat, she finds out, we pray together and blame the devil..
SiwaoniWatakuwepo, chungulia vizuri
Ujumbe alishaufungua akausoma, subiria auandae ili akukabidhi.
Gonga vyombo mkuu,nina mizinga 3 hapa nimeletewa zawadi ndio zinanipa stimu kuendelea kuwa kwenye lindo00:16 muda bado kabisa,acha nigonge vyombo kdg
Mlinzi haonekani hovyo hovyo,anajilinda huku analindaSiwaoni
Safi sana mkuu ,lindo na vyombo linaenda bien kabisaGonga vyombo mkuu,nina mizinga 3 hapa nimeletewa zawadi ndio zinanipa stimu kuendelea kuwa kwenye lindo
Siwaoni
ha ha ha ha kwa nini unapita mida hiiNamalizia Hangar ya Jeshi, niombe nipite salama, nikidakwa bahati mbaya
Teh teh teh nimeamsha Jirani....
Ndio umesema Upunguze utoro....
ha ha ha ha kwa nini unapita mida hii
Eeee never mess with a church girl