Kwakweli nimekuachia kiroho safi kabisa, ila nakutahadharisha, usije ukabweteka ukidhani umebaki peke yako...... "NGOJA NIKAE KIMYA"Alikufanya nini tena mrembo wangu? Ila mimi nimefurahi tu kwamba competitor umejitoa
Nani kaoa/olewa kwa mwenzie?[emoji848]Haswaa
Kuna binti humu ameenda fungate hadi leo sijamuona sijui ndio mahaba yamemzidia au
Binti yupi huyo kaenda mwezi-asali?Wengine fungate miaka miwili
Usiombe kukutwa na bwana pepsi!Kama hapo ni ki upole ukija kwa kasi itakuaje
Haha acha uchonganishi mi niko mwenyewe paleKwakweli nimekuachia kiroho safi kabisa, ila nakutahadharisha, usije ukabweteka ukidhani umebaki peke yako...... "NGOJA NIKAE KIMYA"
liNtWe! [emoji16][emoji16][emoji23][emoji28][emoji1]Wengine fungate miaka miwili
Yeye ndio kaoa mrembo wanguNani kaoa/olewa kwa mwenzie?[emoji848]
Haha toka zakoliNtWe! [emoji16][emoji16][emoji23][emoji28][emoji1]
Japo ulinifanyia ntima nyongo siku ya wanawake duniani.....mimi sina kinyongonawe, nimekutahadharisha tu [emoji16]Haha acha uchonganishi mi niko mwenyewe pale
Tahadhari zako za uongo na kweli kaa nazo mwenyeweJapo ulinifanyia ntima nyongo siku ya wanawake duniani.....mimi sina kinyongonawe, nimekutahadharisha tu [emoji16]
Mambo
What?[emoji1751][emoji932]Yeye ndio kaoa mrembo wangu
Tahadhari zako za uongo na kweli kaa nazo mwenyewe
Kalale tu kiroho safi ukiamka uanze upyaWhat?[emoji1751][emoji932]
Jamani naomba nikapumzishe moyo wangu maana naona 'disappointments' zimeyaandama maisha yangu.
Shwariii vipi nimeingilia story zenu sio,Mambo
Wala sihitaji kuanza upya bali kuachana nayo[emoji119][emoji119]Kalale tu kiroho safi ukiamka uanze upya
Hata kuwa na amani, story za kijiweni hazina mwenyewe wewe ukifika tu jichanganyeShwariii vipi nimeingilia story zenu sio,
Naangalia wapi pakuingizia neno sipaoni,anyway mpo poa wote,hujala vipeee mwenye mali aksiriki upo busy na simu uku fimbo imesimamaHata kuwa na amani, story za kijiweni hazina mwenyewe wewe ukifika tu jichanganye