JamiiForums Usiku wa manane

Sikujua nnavyosikia wanalia nikafikiri hawalali usiku kucha

love thé love or hâte thé love.....
Naona muda wa kufunga geti inakaribia. Ngoja tujiandae tujiondokee humu tuhamie kwingine.
 
Naona muda wa kufunga geti inakaribia. Ngoja tujiandae tujiondokee humu tuhamie kwingine.
Muda wa kukusanya silaha nankukabidhi ofisi

love thé love or hâte thé love.....
 
Mkuu kutoa msaada ni muhimu sana hasa ukizingatia jamaa(Ivuga) analala ovyo ovyo!......hata mimi nina mpango wa kuongeza nguvu kwenye kumsaidia pia!
Inna alivyo kisu wewe jamaa utamuweza?

Usidhani kwa vile mnachati wote hapa kwenye keyboard ukafikiri kuwa mnaendana.

Panga kideti naye nakuruhusu. Usimfananishe na mahonda huyu.
Hii ni kisu baba.
Na wewe kwa ufupi wako huo sijui hata utamuanzaje.

Komaa tu na matatizo yako.
 
Sasa mkuu kama unaamka saa hizi wakati wenzako tunakesha nae kwa nini usiibiwe kwa mfano!![emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…