JamiiForums Usiku wa manane

Mrejesho. Nashukuru kwa maombi yenu wadau wife kapona. Hakika jf ni baba lao
 
Nawaombea wana wa JF Mwenye Enzi Mungu awajalie good health, wealth, love, peace, happiness, joy,KNOWLEDGE AND WISDOM milele yote katika jina la Yahushua ha Mashaic. ...Amen RA
Sala yenye nguvu. Na kwako iwe vivyo hivyo kwa kadri ya Wema na Neema zake ewe binti mwema !!!
 
Hull city 2: 2 Evaton

....maboresho kidogo, wafungaji na dakika za magoli
Dawson (6' minutes),
Snodgrass (65' minutes)

Marshall (45'+1 minutes og),
Barkley (84' minutes)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…