Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Poa poa
nipe ishuu
how are you mtu chake & capital pool?
Maisha tu mwanadafanga.... Halafu nahisi kama nimepotea njia vile.
mambo vipi mtu chakee??Mmmh sijakuelewa umeandika nn Mkuu
Bila samahani, embu niambie mbadala...nami nianze kuichukia...Hahahaha
Samahani lkn,huwa hii 'poa poa' binafsi siipendagi sijui kwann
Samahani ,najua hujanijibu mm
Nimedakia tu
Hapana, hujakosea. nilikuwa nakutafuta .....
Nina salam zako
Nipatie aisee....
Hivi kwenda kwa babe wako bila kumpa taarifa ni sahihi kwenye mahusiano.?
Bila samahani, embu niambie mbadala...nami nianze kuichukia...
maana kuiga huku kutaniacha pabaya
Ahsante kwwa kuniambiliaHahahaha
Samahani lkn,huwa hii 'poa poa' binafsi siipendagi sijui kwann
Samahani ,najua hujanijibu mm
Nimedakia tu
Utaufuata kukisha kucha
Am good Bro, How are You.?how are you mtu chake & capital pool?
Hahahaha cjui mbadala wake ,ila MTU akinijibu ,huwa najua hataki kuendelea zaidi
Nadhani ikibaki 'poa' inatosha kwa upande Wangu lkn
Daaah,unakiuka itaratibu wa mjumbe. Mjumbe halazi salamu hata siku moja...
Nipe salami zangu..
quietly good Bro..Am good Bro, How are You.?
Ahsante kwwa kuniambilia