JamiiForums Usiku wa manane

We mbilikimo wa mwananyamala leo umelala?
Saint Ivuga
Sawa andunje.
Ila wewe mfupi mwenzangu.


Mimi mpare mfupiiiii tena milimani.

Ila nimekuzidi urefu.
Nilikuwa sijui duniani kuna mtu naweza kumzidi urefu.
Yani wewe umezidi kuwa nyundo
 
Hahaha hamna nomaaa...subir zam yako si unanharibia sawa
Yani wewe ndio umeniharibia kinoma.
Umenipeperushia ndege wengi sanaa.
ZAmani kila asubuhi nikiamka nakuta pm elfu moja.za watoto.
Ila leo sijakuta kitu.

Wanajua mi mbilikimo.
You will pay for it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…