JamiiForums Usiku wa manane

"Basi kesheni ninyi kila wakati mkiomba ,ili mpate kuokoka katika haya yote yatakayotokea na kusimama mbele za mwana wa Adamu"Luka 21:36
 
"Basi kesheni ninyi kila wakati mkiomba ,ili mpate kuokoka katika haya yote yatakayotokea na kusimama mbele za mwana wa Adamu"Luka 21:36
....,uzuri usiku tunaishia kusema amen tu, sadaka asubuhi
 
Leo nawahi mapemaaaaaaaaaaaaaaaaa! Nisije kosa siti bureeeeeeeeeeee...Nipo hapa kwenye Tv nasubiria Mwaka mpya wetu utangazwe.
 
Leo nawahi mapemaaaaaaaaaaaaaaaaa! Nisije kosa siti bureeeeeeeeeeee...Nipo hapa kwenye Tv nasubiria Mwaka mpya wetu utangazwe.
 
Reactions: Lee
Jamani yule miss wetu yopo wapi? Ukhty
 
Usiku wa manane wa leo nahisi baadhi ya wadau wa idara hii mtakua mnapiga vyombo
 
Nahisi usingizi,lakini silali.Majukwaa mengine buana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…