Yente mamalai
Nilishangaa uliposema umeelewa mwanzo ndio maana nikakuambia apia.. Utaijua tu as far as nipo hapa kila night
Yeah sijui kichina hicho
Salama kabisa, sijui uko uliko?
Kwema?
Oyaaa chalii vipi??
Hahaha sawa sawa,naelewa broHamna kitu ni exaggerations tu[emoji23][emoji23]
•Yente/yechu/mori/gudi zote zinamaanisha poa/safi/fresh/goodTuanzia hapa....nifahamishe
Ilinibidi niwe mpole sikujua kama umesema Nakupenda au Umenipa za Mbavu....teh teh
YechuOyaaa chalii vipi??
•Yente/yechu/mori/gudi zote zinamaanisha poa/safi/fresh/good
• mamalai - ni kama kusema 'my lady' ila kwa swahili ni kusema 'mama angu'.
So 'poa mamaangu'.
Ualimu kazi asee
Hawawezi kuwa hewani saa hiiKama yupo shabiki wa arsenal naomba akalale apunguze mawazo
After 100mn 1-3Hawawezi kuwa hewani saa hii
Kama umenyaka nitupie hata mti bese taraa namimi niandasike arifHahaha sawa sawa,naelewa bro
Man U humwonea sana Arsenal...After 100mn 1-3
Duh asee sitakagi pira kabisa ngoja ntararike ado ado.Asante sana....kuna mtu nilimwombaga anifundishe akipita hapa ataumia sana.
Tatzo ni mashabiki wao huwa wanajitoa sana ufahamuMan U humwonea sana Arsenal...
Kiboko yao wote ni Liverpool tu, hapo hata Man City anafyata
Kazi kwako broKama umenyaka nitupie hata mti bese taraa namimi niandasike arif
Kweli fasi hiyo kinahappen asee ni kwikwi [emoji3][emoji3][emoji1787]
Kweli fasi hiyo kinahappen asee ni kwikwi [emoji3][emoji3][emoji1787]
Usikimbie. .Duh asee sitakagi pira kabisa ngoja ntararike ado ado.
Hiu kitu napata wapi?? A town