JamiiForums Usiku wa manane

Utacheza na watoto wenzako sio lazma mimi mama yako
Aisee toxic9 hahaa ... wewe ndiye unaye nifanyia fitina mpaka najibiwa hivi .... sijawahi kwenda kwa mganga lakini kuanzia kesho inabidi nianze kufikiria kuhusu kwenda huko ..... hizi sio dalili njema kabisa mkuu mtakuwa mmesha niroga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nenda mdogo mdogo mwanamke anatakiwa kubembelezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa sasa kabla huyo mtu haja post comment yake si inampasa kuweza kujua majira ya watu anao chat nao kwanza mkuu ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…