Narudia tena. Ungekuwa unatumia TECNO kama mimi hicho kisimu wala kisingekuwa na kiherehere cha kuweka signature ambayo imebadilishwa manually kama hiyo [emoji16][emoji16][emoji16]
Za tangu jana lakini?
Nimepita kuangalia kama kuna mlinzi anasinzia ili nifanye kazi yangu ya Kuamsha amsha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]mkuu bado mgeni wa juz tu mie
Za tangu jana ni njema sana ndugu yangu naona ndo unashika lindo!
Jamaa anatesa na iPhone yake. Ngoja na mimi niruhusu TECNO yangu itese sasa
Unaona lakini mkwara wa TECNO yangu mpya? Ngoma droo sasa walahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
Nimepita kuangalia kama kuna mlinzi anasinzia ili nifanye kazi yangu ya Kuamsha amsha [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Bonge la TECNO tena mpya
Unaona lakini mkwara wa TECNO yangu mpya? Ngoma droo sasa walahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Bonge la TECNO tena mpya
Kabisa mkuu. Tumechoka na iPhone na Samsung zenu kha !!!Bonge la tecno tena mpya[emoji23][emoji1477]
hahaha eti bonge la tecno 🤣🤣🤣Nimepita kuangalia kama kuna mlinzi anasinzia ili nifanye kazi yangu ya Kuamsha amsha [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Bonge la TECNO tena mpya
Kabisa mkuu. Hawa wa iPhone na Samsung wamezidi kutunyanyasa [emoji16][emoji16][emoji16]hahaha eti bonge la tecno [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bbade, hi!