Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sisi watu wa TECNO wala hatujui tofauti ya iPhone sijui plus mara X. Kwetu ni mamoja...Hapo vipi mbabe wa signature[emoji23]
Sent from my iPhone X using JamiiForums
Bbade, hi!
Sisi watu wa TECNO wala hatujui tofauti ya iPhone sijui plus mara X. Kwetu ni mamoja...
Sent using Bonge la TECNO tena mpya
Usharudi kwenye libaridi kumbe. Pole sana. Za kwangu njema mno. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Salama....baridi inatutesa. ...
Za Kwako?
Usharudi kwenye libaridi kumbe. Pole sana. Za kwangu njema mno. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sent using Bonge la TECNO tena mpya
Mzima umeshindaje?Hello Chaliyangu. ....mzima????
Mzima umeshindaje?
Kitambo mpaka ile tan imeanza kupotea. ...
[emoji120][emoji120][emoji120]
Wapi huko kuna baridi