Tufunge tu kama kila mtu ametoka? Ukifungia mtu ndani itakua shida kidogo
si ni ugali na samaki (gebuka)Unafahamu kinaitwaje?
Au umependa rangi?
si ni ugali na samaki (gebuka)
hiyo rangi ni nzuri inavutia
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji127][emoji132][emoji8][emoji8][emoji6][emoji6]Ndio mida hii. ...
Uwe na weekend njema.
Acha nipunguze uchovu kidogo.
Baadae. ....
njoo upumzike...hayo ya vyakula subiri pakuche nitakueleweshaUsiharibu majina ya Vyakula vya Watu....[emoji54][emoji54]
Hahaha bado sijaridhia. Ni suala la kujadilihaswaa....tena ya upendeleo
si ni ugali na samaki (gebuka)
hiyo rangi ni nzuri inavutia
[emoji23][emoji23][emoji23]Usiharibu majina ya Vyakula vya Watu....[emoji54][emoji54]
Poa bye. Weekend njema kwako piaNdio mida hii. ...
Uwe na weekend njema.
Acha nipunguze uchovu kidogo.
Baadae. ....
Nipitie kesho twende churchAsubuhi uwahi kuamka uende jumuiya
Mimi buddhist naenda temple sio church! [emoji878] [emoji918]Nipitie kesho twende church
Mtu wa mapicha picha leo umetia hasara kuweka bandiko hili, umeturudisha chekechea kujifunza kuhesabu acha kutudharau wakubwaView attachment 1011840
Moja - wahed [emoji736]
Mbili - Ithnan [emoji736]
Tatu - Thalatha[emoji736]
Nne - Arba[emoji736]
Tano - Khamsa[emoji736]
Sita - Sitta
Saba - Sabah
Nane - Thamaniya
Tisa - Tissah
Kumi - Asharah
Khamsa[emoji23][emoji23]View attachment 1011840
Leo tunajifunza kuhesabu Kiarabu [emoji16][emoji16][emoji16]
Moja - wahed [emoji736]
Mbili - Ithnan [emoji736]
Tatu - Thalatha[emoji736]
Nne - Arba[emoji736]
Tano - Khamsa[emoji736]
Sita - Sitta
Saba - Sabah
Nane - Thamaniya
Tisa - Tissah
Kumi - Asharah
Kama ni mshabiki wa Simba leo itabidi ujifunze kuhesabu Kiarabu angalau mpaka 10 kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]Mtu wa mapicha picha leo umetia hasara kuweka bandiko hili, umeturudisha chekechea kujifunza kuhesabu acha kutudharau wakubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi cha pili kimeshaanza bro? Nilikwambia dazeni hukuniamini. Aibuuu [emoji16][emoji16][emoji16]Khamsa[emoji23][emoji23]
Kama ni mshabiki wa Simba leo itabidi ujifunze kuhesabu Kiarabu angalau mpaka 10 kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]
Mapicha picha yangu huwa yanakukera? Hii siyo mara yako ya kwanza kulalamika kiaina...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Khamsa[emoji23][emoji23]
Mtu wa mapicha picha leo umetia hasara kuweka bandiko hili, umeturudisha chekechea kujifunza kuhesabu acha kutudharau wakubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1011840
Leo tunajifunza kuhesabu Kiarabu [emoji16][emoji16][emoji16]
Moja - wahed [emoji736]
Mbili - Ithnan [emoji736]
Tatu - Thalatha[emoji736]
Nne - Arba[emoji736]
Tano - Khamsa[emoji736]
Sita - Sitta
Saba - Sabah
Nane - Thamaniya
Tisa - Tissah
Kumi - Asharah
Mimi kama kiranja na kwa mamlaka mliyonipa wenyewe nawaamuru mrudi kule kwenye jukwaa la michezo mnajadili simba.