JamiiForums Usiku wa manane

Nikizijoin hivi sasa nisome swali na jibu
 
Labda
 
Ila naona cha muhimu sisi tufanye yetu tu haina haja ya kuombea wengine njaa [emoji28][emoji38][emoji23]

Hiyo ya kufanya yetu ni kupeana hamasa, ila kimoyo moyo adui lazima umwombee njaa.

Unakumbuka kuna game Leicester anafunga goli la 2 vs City na sisi tunafunga goli la 4 vs Newcastle, watu wanashangilia goli la Leicester badala ya lile la Liverpool mpaka Klopp akawa ànashangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…