JamiiForums Usiku wa manane

Kama anasinzia vile nkijaribu kumlaza tu anafungua jicho kazi inaanza upya...
Anajua venye nampendaga ntakomaa nae hata kukuche poa tu
Ha ha haaa hafu kukikucha yeye ndo analala wewe majukumu huwezi lala sasa
 
Ha ha haaa hafu kukikucha yeye ndo analala wewe majukumu huwezi lala sasa
Haswaa kama ulikuepo vile anashindaga amelala kutwa nzima ikifika saa4usk wakat wengne mnajiandaa kulala yy ndio anajinyoosha aamke mkeshe nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…