Au umepewa adhabu? Teh
Ukipewa adhabu huwezi kuwa na simu ujue...Au umepewa adhabu? Teh
Siku haitoshi. Upigwe wiki!
Hapana wanaruhusiwa mbonaUkipewa adhabu huwezi kuwa na simu ujue...
Soja unatakiwa uwe fit muda wote.
Huo ni wito umeyataka mwenyewe
Adhabu gani uko na simu mkuu
Basi hutakiwi kuwa huko. Njoo kijijini tulime
HahahaHapana wanaruhusiwa mbona
Huruma ya nini... We kwa nini umechelewa doria