Kwahiyo nishauri nikaambiaje maana nahisi katanivunjia heshima haka kabintiha ha ha itabidi uwe mlinzi wa kudumu...kwa sababu nyumba umeshaimwagia petrol na muda wowote inaweza kupata moto na kukosa pa kulala
Sijambo mbona hujanipa ushauri hapo comment umeirukaBaby mambo yake Poa sana.
kinundu hajambo?
Itabidi umkane kama hakukuwa na shaidi ili maisha yaendeleeeKwahiyo nishauri nikaambiaje maana nahisi katanivunjia heshima haka kabinti
Sent using Jamii Forums mobile app
Za masiku,??!!!Mwenyewe umeniamsha. ..
Za masiku?
Nimekatumia text... Ni chumba cha jirani tuu hapa... Na washua wana geti lao.. na wote si ndugu zangu ni watu wamenipa ifadhi tuu nimekuja huku one timeItabidi umkane kama hakukuwa na shaidi ili maisha yaendeleee
Za masiku,??!!!
Mbona jna nilikuwa hapa.
Sent using simu mbovu
Ana umri gani?Nimekatumia text... Ni chumba cha jirani tuu hapa... Na washua wana geti lao.. na wote si ndugu zangu ni watu wamenipa ifadhi tuu nimekuja huku one time
Sent using Jamii Forums mobile app
Nalia na chaji ya simu mi si mdau wa kulala mapemaNasikia mtu akilala sana anazeeka haraka,kuna ukweli wowote wanalindo?
Mi niko poa, shukrani kwa Mungu.Alaa kumbe. ..nilitegea jana.
Mzima lakini?
Nasikia mtu akilala sana anazeeka haraka,kuna ukweli wowote wanalindo?
17 now hakasomi shule kaliniambia kamekataa kamesema babake akanunulie cherehani tuuAna umri gani?
Nashukuru MunguMi niko poa, shukrani kwa Mungu.
Habari yako vp?
Sent using simu mbovu