Shangazi wa nani?Shangazi mambo?[emoji28][emoji28][emoji28]
Shangazi yake yeye , nahisi mi ntakuwa mjomba wake [emoji2] [emoji2]Shangazi wa nani?
Jesus is my saviour and a friend
Sie wazima,wewe je?
Tupo tumejaa tele
Basi vizuri,leo utalinda uzi wetu huu mpaka saa 9 za usiku,ndio utapokelewa lindo [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahhaha acha akuje ajibu mwenyewe bhana mbona unamsaidia?Shangazi yake yeye , nahisi mi ntakuwa mjomba wake [emoji2] [emoji2]
Hakuna shaka kabisa uzi utakuwa salama,labda waje na mabomu kama wale waliovamia office ya Wakili[emoji23] [emoji23]Basi vizuri,leo utalinda uzi wetu huu mpaka saa 9 za usiku,ndio utapokelewa lindo [emoji12] [emoji12] [emoji12]