dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Yeye ndio mtawala sasa wa kisiwa hicho na ukileta swagga siczo eleweka anaweza kukuharibiaMi simjui huyo , naye yupo huku carribean iceland [emoji15] [emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jirani kipenzi nakusalimiaNawasalimia nyote
Salama kabisa jirani yangu, ngoja nipite nitarudi baadae [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Jirani kipenzi nakusalimia
Sawa jirani utaniwakilisha ukirudi.Salama kabisa jirani yangu, ngoja nipite nitarudi baadae [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Muda ulikuwa bado[emoji23] [emoji23] [emoji23] , mchuchu[emoji15] [emoji15] [emoji15] hapana mchuchu wala nini.Ningepata mchuchu mbona ningefurahi.Wap leo we popo umepata mchuchu nn wa kukupa joto usik huu
Tupo
Upo mkuuu?
Nipo but leo inabidi nilale kwani nilitimiza masaa 42 bila kulala, nimelala kwenye saa 6 na kuamka saa 8, but bora nipumzike leo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Upo mkuuu?