Lengo la huu uzi lilishasahaulika....Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Usiku wa maananSina usingizi ina maana humu leo niko mwenyewe?
Usiku wa maanan
Mbu wamevamia aiseee,hapalalikiVipi mkuu uko shift au na ww usingizi umekata kama mimi?
Duuh pole mbu nyie huwa wanaingiaje ndani? Maana me net situmii na mbu huwa hawanisumbui kabisa.Mbu wamevamia aiseee,hapalaliki
Tupo wote mkuu nimeamua kusikiliza mziki tuPopo niko mwenyewe
Nilimaliza kucheki muvi inaitwa five feet apart toka saa 7 nikasema nilale ila usingizi umegoma..Tupo wote mkuu nimeamua kusikiliza mziki tu
[emoji9]Duuh pole mbu nyie huwa wanaingiaje ndani? Maana me net situmii na mbu huwa hawanisumbui kabisa.
[emoji19]Popo niko mwenyewe
Ni ya action?Nilimaliza kucheki muvi inaitwa five feet apart toka saa 7 nikasema nilale ila usingizi umegoma..